Alhamisi, Juni 05, 2014

PENNY WA DIAMOND YU MAHUTUTI...SIKU YA TATU LEO ANAPUMULIA MASHINE

Taarifa isiyo nzuri iliyotufikia inaeleza kuwa ni siku ya tatu sasa yule mtangazaji wa Radio mpya ya EFM na ex-girfiend wa Diamond Platnumz , DJ Penny amekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa Asthma kwa kiswahili kilichozoeleka ni 'pumu' na hali yake kwasasa bado haijawa nzuri.
Kwasasa penny anasaidiwa kupumua kwa mashine kutokana na Asthma hiyo kufika pabaya.

0 comments:

Chapisha Maoni