Jumapili, Juni 29, 2014

MTANZANIA ACHINJWA NCHINI KENYA KUZIKWA KESHO ARUSHA


Mkazi wa Mtaa wa Engurumaus kata ya Moshono jijini Arusha Siryakwi Maleko 78 amechinjwa huko Mombasa nchini Kenya katika tukio lililowahusisha watu wengine 4.
Mtanzania huyo atakayezikwa jumatatu katika kata ya Moshono alikwenda Mombasa kumsabahi binti yake ambapo katika tukio hilo Al Shabab pia wamemchinja mkwe wake walipokuwa wote shambani wakilinda wanyama waharibifu.

Je serikali inalijua tukio hili?

0 comments:

Chapisha Maoni