Unamfahamu Mkude Simba? ni jamaa anaitwa Kitale ambaye anafanya vizuri sana katika sanaa ya maigizo upande wa vichekesho na baada ya kufanya kazi nyingi katika bongo movie na sasa anafanya sanaa hiyo hiyo lakini upande wa maigizo ya sauti pekee 'SOUND DEMO' akiigiza sauti kana kwamba ni mshamba sana kutoka Morogoro vijijini na anashirikiana poa na msanii wa muziki wa kizazi kipya Ney wa mitego katika sanaa hii, sasa hapa chini nimekuwekea kichekesho kipya cha MSIBA baada kufiwa na dada yake....UTACHEKA SANA SANA
0 comments:
Chapisha Maoni