Mwanasiasa nguli nchini Tanzania Zitto Zubeiry Kabwe ambaye pia ni mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA ametangaza kifo cha mama yake mzazi asubuhi ya leo, nanukuu maandishi yake aliyoyaandika kupitia ukurasa wake wa Facebook:
My mother has just passed away. Inna lillah wainna illaih raajiun
Post by Zitto Kabwe.
0 comments:
Chapisha Maoni