- Evans Elieza Aveva ameshinda Urais kwa kupata kura 1452 kati ya 1845 zillizopigwa, mpinzani wake Andrew Tupa akipata kura 387 wakati kura sita zimeharibika.
- Pia Geoffrey Nyange 'Kaburu' (pichani) ameshinda Umakamu wa Rais Simba SC baada ya kupata kura 1043 akimshinda mpinzani wake wa karibu Jamhuri Mussa Kihwelo 'Julio' aliyepata kura 413 na Swedi Nkwabi kura 300.
0 comments:
Chapisha Maoni