Jumapili, Juni 01, 2014

GEORGE TYSON KUAGWA LEADERS NA KUZIKWA KISUMU-KENYA JUNE 7


Mwili wa mwongozaji na mtayarishaji wa filamu nchini, George Tyson utaagwa katika Viwanja vya Leaders na baadaye utasafirishwa kwenda nchini Kenya kwa mazishi. Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu, Tyson atazikwa Kisumu, Kenya Juni 7 mwaka huu.

0 comments:

Chapisha Maoni