Meneja wa kilaji cha Kilimanjaro Lager wa TBL Bw. George Kavishe
azungumzia maandalizi ya Tuzo za Kili Music Awards zitazotolewa leo May
3, 2014 kuanzia saa tatu usiku katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar
es salaam. Ukiwa ni mmoja kati ya watu wanaotarajiwa kuhudhuria katika siku hii muhimu sana kwa wanamuziki wetu wa kitanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla basi ni vema ukamsikiliza vizuri na kumtazama George Kavishe katika video hii hapa chini...
0 comments:
Chapisha Maoni