Jumanne, Aprili 08, 2014

REKODI ZILIZOWEKWA MPAKA SASA EPL:

* Zimechezwa Mechi - 325
* Bao Zilizofungwa - 895
* Goli La Kwanza Kufungwa Msimu Huu - Daniel Sturridge, Liverpool vs Stoke 17th Aug. 2013.
* Anayeongoza Kwa Kufungwa - Lius Suarez (bao 29)
* Kipa Bora - Petr Cech, mechi 15bila kufungwa
* Ushindi Mnono Wa Nyumbani - Man City 7-0 Norwich
* Ushindi Mkubwa Muhimu - Chelsea 6-0 Arsenal
* Kushinda Kwa Mfululizo - Liverpool, mechi 9.
* Mechi Nyingi Bila Kupoteza - Chelsea na Liverpool, mechi 14
* Mechi Nyingi Bila Kushinda - Fulham na WestBrom, mechi 9.
*Mahudhurio Makubwa - Man United 4-1 Aston Villa (75,368).

0 comments:

Chapisha Maoni