Katika hali isiyokuwa ya kawaida baadhi ya wananchi katika kijiji
Cha Gua Kata ya Gua Wilayani Chunya Mkoani mbeya wamegeuza Nyumba ya
Mtumishi wa Serikali ndani ya kijiji hicho kuwa kilabu cha pombe za
kienyeji
Aidha kwa mujibu wa maelezo toka kwa Mmoja wa wananchi
hao aliyejitambulisha kwa jina moja la Nducha amesema kuwa nyumba hiyo
ilijengwa kwa lengo la kuishi Bwanashamba wa Kijiji hicho ambaye kwa
sasa hana makazi ya kudumu kwa zaidi ya miaka mitatu sasa .
0 comments:
Chapisha Maoni