Leo hii metimia mwaka mmoja tangu serikali ya Jubilee ilipoapishwa
kuchukua madaraka nchini Kenya, chini ya uongozi wa Rais Uhuru Muigai
Kenyatta. Mnamo kipindi hicho cha uongozi wa Kenyatta, Kenya imepitia
katika misukosuko na changamoto, huku serikali ya rais huyo ikiandamwa
na ukosoaji wa wapinzani.




0 comments:
Chapisha Maoni