Staa wa Nigeria, D’banj amesesema atamhusisha mtayarishaji wake wa
zamani, Don Jazzy kutengeneza album yake mpya. Akiongea na mtangazaji wa
Uingereza, Tim Westwood, D’banj alisema kuwa anatarajia kutoa album ya
miaka yake 10 kimuziki.
For my 10th anniversary, I am thinking of doing a Best of D’banj album and Don Jazzy will definitely produce it. I am going to make sure he does,” alisema.
For my 10th anniversary, I am thinking of doing a Best of D’banj album and Don Jazzy will definitely produce it. I am going to make sure he does,” alisema.

0 comments:
Chapisha Maoni