Mwigizaji wa bongo move Monalisa ,anaye fanya vizuri katika industry
hiyo ameongea na FT na kueleza kuwa marehemu Steven Kanumba ameondoka na
fans wake
“kiukweli nisingependa kumzungumzia sana marehem Kanumba coz hakuna
kinachojificha juu ya vitu vikubwa ambavyo tayari alikwisha vifanya ila
kwa kweli kanumba amekwenda pamoja na mashabiki wake,simaanishi kama
soko la filam limeshuka au limepanda hapana nazungumzia kuwa marehemu
alikuwa na mashabiki ambao wao walikuwa wanatizama move za Kanumba tu so
baada ya kifo kutokea na wao wakaacha kutazama movi zingine , but steal
tuna mkumbuka na tutampenda daima,cha msingi tu kwa sisi ambao bado
tupo hai tujitume kwakwel na siyo kufanya mambo ya aajabu alafu mwisho
wa siku bongo move tunaonekana hatuna tunacho kifanya wala hakuna kitu
ambacho jamii inajifunza kupitia sisi ”monalisa.
0 comments:
Chapisha Maoni