Kuna habari nimezipata hivi punde mchana huu kutoka mkoani Morogoro ni kwamba mvua kubwa imenyesha na kusababisha mafuriko makubwa huko Ifakara-Kilombero, huu ni mfululizo wa mvua za masika zinazoendelea kunyesha Tanzania nzima na kushababisha madhara katika maeneo mbalimbali kama vile Dar es Salaam. Bado mpaka sasa sijapata takwimu ya madhara yaliyotokana na mafuriko hayo, pindi tu nikipata nitakujulisha...tazama picha za tukio hilo..
0 comments:
Chapisha Maoni