Ijumaa, Machi 28, 2014

ZANZIBAR KUMENUKA, ATAKAYEWASALITI DODOMA KUKIONA

Hawa ni baadhi ya wananchi wa Zanzibar wakiwatisha wabunge wao juu ya maamuzi watakayofanya kwenye Bunge la Katiba. Kwa hali kama hii ni dhahiri kabisa kwa kuwalinda wabunge hao kura ya siri lazima ichukue nafasi.

0 comments:

Chapisha Maoni