Jumamosi, Machi 08, 2014

WOLPER AKANA SHUTUMA ZA KUWATELEKEZA WAZAZI WAKE

Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper amechomoa madai yaliyoibuka kuwa hawajali wazazi wake.Baada ya taarifa hizo za chinichini kuzagaa, Wolper aliibuka na kuzikanusha:
“Wazazi wangu ni matajiri kwa pesa gani nyingi nilizonazo za uwafikia wao kiasi cha kuwapa matunzo, bado nawategemea hivyo wanaodai nimetelekeza wazazi ni waongo tu.”

0 comments:

Chapisha Maoni