Mke anasema hii sio mara ya kwanza kwa wao kukuta jeneza dogo likiwa
na paka ndani yake ambapo wakati uliopita alichukua hilo jeneza na
kwenda kuchoma kisha baada ya siku mbili akakutana na kitu kilekile
mlangoni.
Familia ya Elias Oganda huko Seme jimbo la Kisumu nchini kenya
inasema huenda kitendo hiki kimetokana na mzozo wa shamba japo
hawafahamu aliye katika ugomvi huo.
Elias anataka aliye na tatizo naye kujitokeza kusuluhisha ili
kuachana na hii ya huyo asiyejulikana kuleta jeneza lenye miili ya paka
mlangoni mwake kila wakati.
Unaambiwa jeneza hili lenye mwili wa paka aliekufa limekuwa likiwekwa nje ya mlango wa Julius hii ikiwa ni mara ya nne sasa.
0 comments:
Chapisha Maoni