Morning Africa,...SIKU YA LEO UPATAPO NAFASI,HEBU JARIBU KUFANYA MOJA YA HAYA NA UTAKUWA UMEBADILISHA MAISHA YA MTU FLANI.
-Una mlinzi?instead ya kumfokea,Hebu leo kumbuka kumsalimu na kumtakia siku njema huytu mtu anayekesha getini kulinda nyumba yako,bila shaka wengi hawafanyi hili
1:shiriki bure sehemu ya chakula chako na yeyote mwenye njaa na kuhitaji
2:Shiriki nyimbo nzuri kwa mtu mwenye huzuni ama anye feel down.-Una mlinzi?instead ya kumfokea,Hebu leo kumbuka kumsalimu na kumtakia siku njema huytu mtu anayekesha getini kulinda nyumba yako,bila shaka wengi hawafanyi hili
1:shiriki bure sehemu ya chakula chako na yeyote mwenye njaa na kuhitaji
3:Mfundishe mtu ,jambo analotamani kulifaham na halifaham na ni wewe pekee unafahamu
4:Una nguo ama chochote usichokihitaji tena?hapana usikitupe,mpatie yule mwenye kuhitaji
5:Una rafiki ama jamaa mpweke na pengine hana mtu wa karibu wa kushare nae yanayomsibu,make a call am text kwake,mfanye ajiskie hayupo peke yake,kwani kuna siku nawe utakuwa mpweke na utatamani mtu wa kuzungumza nae
6:Panga ku donate damu,damu yako kidogo inaweza ikaokoa maisha ya mtu sehemu flani..
7:Saidia mzee,ama mtoto kuvuka barabara.
8:Ambia rafiki,family member ama mtumishi ni kiasi gani una mwappreciate
9:Saidia mji wako kuwa msafi,si kazi kubwa kuokota kipande cha uchafu na kuweka sehemu husika
10:Mpigie mzazi wako na kumwambia ni kiasi gani unampenda
11:Motivate mtu flani atimize ndoto zake
12:Jipe amani ya moyo kwa kusamehe
13: la mwisho,jifanyie wewe mwenyewe,Acha kufanya kitu kibaya ulichokuwa unaufanyia mwili wako,pengine uvutaji wa sigara,ulevi wa kupita kiasi etc
....HAIJALISHI NI KIDOGO KIASI GANI UTAKACHOKIFANYA,KUWEKA TABASAMU KWA MTU,NDICHO KINACHO MATTER ...Siku njema
0 comments:
Chapisha Maoni