Alhamisi, Machi 06, 2014

UWANJA UTAKAO CHEZEWA MECHI YA AL AHLY VS YANGA JUMAPILI UMEPATIKANA


Fuatilia mchezo wa Klabu bingwa Afrika siku ya Jumapili hapa hapa kandanda, mchezo ambao utachezwa katika uwanja ujulikanao kama Max, ambao upo chini ya Jeshi la Anga la Misri.

0 comments:

Chapisha Maoni