Video ya Uzuri wako kutoka kwa msanii Jux imezuiliwa kurushwa kwenye vituo vya TV kwa hapa Tanzania kutokana na sababu za zilizosemekana kuwa ni za kimaadili.
Jana 6/3/2014 Jux amehabarisha kuhusu video yake kuanza kupata airtime kwenye kituo cha channel O.
Cheki hii video uone wakati Uzuri wako ikipata airtime kwenye channel O katika link hii https://www.facebook.com/photo.php?v=1428706590714964&set=vb.100007269096304&type=2&theater
0 comments:
Chapisha Maoni