Askari wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Morogoro analijulina Bw Crispan 'vilevile anajulikana kama Mandela' amegongwa na gari eneo la Mtawala barabara inayotoka Msavumu kuingia katikati ya Mji wa Morogoro.Hii ni mara ya pili kwa askari huyo kugongwa na gari mkoani hapa.
Tukio hilo lilitokea jana wakati Askari huyo alipokuwa eneo la kituo cha kushusha abiria kwenye Shule ya msingi ya Mtawala mkoani hapa
Kwa sasa Afande huyo ambaye hii ni mara ya pili kugongwa na gari akiwa kazi imelazwa wodi namba moja hospiatal ya Rufaa ya mkoa wa Morogoro.
Kwa sasa Afande huyo ambaye hii ni mara ya pili kugongwa na gari akiwa kazi imelazwa wodi namba moja hospiatal ya Rufaa ya mkoa wa Morogoro.
0 comments:
Chapisha Maoni