Ijumaa, Machi 21, 2014

AJALI MBAYA DAR ES SALAAM! MAGARI 6 YAHUSISHWA...TAZAMA PICHA HAPA


Ajali mbaya imetokea muda huu hapa Ubungo lango kuu la kuingilia mabasi yatokayo mikoani. Ajali imehusisha magari 6 likiwemo UDA. Mpaka sasa haijajulikana idadi ya watu waliopoteza maisha.

0 comments:

Chapisha Maoni