Huku kukiwepo na madai ya baadhi ya mastaa wa Bongo kwenda nchi za nje
kufanya biashara ya kujiuza, siri imevuja kuwa, staa wa filamu
aliyepotea kwenye soko la filamu Bongo, Jennifer Mwaipaja ‘Shumileta’
amedaiwa kumuuza msanii mwenzake wa kike, Lungi Maulanga kwa mwanaume
aishie nchini India.
Kwa mujibu wa chanzo makini, mchongo huo ulifanyika kupitia mtandao
wa kijamii wa Instagram baada ya Shumileta anayesaka maisha nchini humo
kuona picha ‘sex’ ya Lungi (iliyopo ukurasa wa nyuma), fasta akamtafutia
mteja, raia wa Nigeria (jina kapuni).
Baada ya kumegewa mchapo huo, waandishi wetu waliingia mzigoni na
kufanikiwa kunasa mawasiliano ya msanii wa filamu Bongo, Lungi Maulanga
na Shumileta kupitia mtandao wa Instagram.
‘Charting’ hizo zilionesha ‘live’ kuwa Shumileta amemuomba Lungi
amtafutie bwana huyo wa Kinaigeria, akafanikiwa kuwaunganisha na
wakaanza kuchati kupitia Mtandao wa WhatsApp ambapo mwanaume huyo
alimuahidi Lungi mambo makubwa ikiwa ni pamoja na kumtumia picha yake.
Lungi alipoulizwa na mapaparazi wetu juu ya mawasiliano hayo ya kibiashara alifunguka:
“Nyie mmepata wapi habari? Hiyo simu yangu ilipotea, nahisi mtakuwa mmeona mawasiliano yangu humo. Kwani Shumi kunitafutia bwana kuna tatizo gani? Bwana kaniona, kanipenda na mimi nimechati naye, kuhusu mambo ya kwenda Naigeria hiyo haiwahusu.”
“Nyie mmepata wapi habari? Hiyo simu yangu ilipotea, nahisi mtakuwa mmeona mawasiliano yangu humo. Kwani Shumi kunitafutia bwana kuna tatizo gani? Bwana kaniona, kanipenda na mimi nimechati naye, kuhusu mambo ya kwenda Naigeria hiyo haiwahusu.”
Ili kuleta usawa wa habari, mapaparazi wetu walimtafuta Shumileta kwa njia ya simu, mambo yalikuwa hivi:
Mwandishi: Shumileta mambo vipi?
Shumileta: Safi, niambie.
Mwandishi: Shumileta mambo vipi?
Shumileta: Safi, niambie.
Mwandishi: Tumepata habari kuwa umemuuza Lungi kwa mwanaume Mnaigeria huko India?
Shumileta: Aliyekwambia nani? Mfuate muulize vizuri, mimi sizijui hizo habari.
Shumileta: Aliyekwambia nani? Mfuate muulize vizuri, mimi sizijui hizo habari.
Mwandishi: Mbona lakini kuna SMS zako zimefumwa kwenye simu ya Lungi ukimtafutia bwana?
Shumileta: Mfuate kamuulize mwenyewe.
Shumileta: Mfuate kamuulize mwenyewe.
0 comments:
Chapisha Maoni