Jumapili, Machi 09, 2014

SHILOLE AGOMA KUMPA PENZI BARNABA BOY CLASSIC


MAAJABU! Licha ya ulimwengu wa burudani Bongo kuamini kwamba staa wa Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ aliwahi kuanguka dhambini kwa Mbongo-Fleva, Elias Barnaba, mwanadashosti huyo ameibuka na kudai kuwa hakuwahi kumpa penzi.
“Ukweli sikumpa penzi Barnaba, yule ni mshkaji tu…kama ni muziki hakunipiga tafu kama alivyonisaidia Q-Chillah …hahaha acha hizo bwana, Barnaba hakuwa mchumba wangu,” alisema Shilole.


0 comments:

Chapisha Maoni