Haijawahi kutokea kwingine kokote duniani, hebu fikiria leo hii unamwona rais Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete anakwenda kutoa pesa katika ATM???????????? Hii imetokea leo huko Ireland ambapo rais wa nchi hiyo Michael D Higgins ameonekana akiwa katika mashine ya kutolea pesa ATM katikati ya mtaa wa Baggot leo!
0 comments:
Chapisha Maoni