Ili mfurahie busu mnatakiwa kupeana(umbusu-akubusu) hilo ni jambo muhimu
la kuzingatia ni kutoachama au kukusanya midomo yako kama unataka
kubusu kwa sauti (kama zile busu za sauti za vijana mtaani) na badala
yake busu kimahaba.
Sogeza midomo yako kama ilivyo (umeifumba lakini
iko-relaxed) kwenye midomo ya unaetaka kumbusu… kisha itulize midomo hiyo juu yake na sasa toa “busu kavu” juu ya midomo yake kisha jitoe alafu rudi tena x3.
1)-inua uso wake kwa kutumia kidole (hii ni kwa wanaume) na mbusu moja kwa moja kwa kugusanisha pua kiaina…
2)-Busu kwa kupindisha shingo/kichwa ili kutogusanisha pua zenu…
2)-Busu kwa kupindisha shingo/kichwa ili kutogusanisha pua zenu…
3)-ukiwa umepindisha kichwa/shingo… mshike mkono au mkumbatie kiasi na
busu tena. Ukiona/hisi anajisogeza au anakupa ishara kuwa uendelee kwa
kufungua mdomo kiaina, kukushika mkono/kifua/kitambi/kiuno au kuweka
mkono kwenye bega basi endelea na “busu nyevu” kwa kubusu ktk mtindo wa
kulamba-kunyonya mdomo(lips) wa chini na tulia hapo kwa sekunde chache
kisha pokea ulimi wake kwa ulimi wako (bila kuachama… ni mumo kwa mumo)
alafu ukwepe na kisha rudi kwenye midomo ya busu lip ya juu.
Ongeza ujuzi wako sasa… na kumbuka kupumua kwa kutumia pua sio
unampumulia mwenzio mdomoni…. (atashiba hewa) au unabana pumzi (Mauti
inakukumba). Unaweza kufumba macho au kukodoa.... inategema na wakati
wenyewe. Kuna aina tofauti za kubusu ili kutuma ujumbe kwa mpenzi wako
lakini busu zote zinahusisha ulimi na mate. Unaweza ukapewa busu wewe
ukadhani ni kawaida (kama hujui) lakini mwenzio anakwambia amechoka,
anakupenda, anashukuru, amefurahi kukuona, lakini hataki kungonoana
siku/wakati huo, hana raha/hujamfurahisha, anataka kuwa peke yake, ana
machungu, yuko busy n.k. Busu hizi zina jinsi yake ambayo utaijua kwa
vitendo.
Nadhani wabongo wengi hawajui unless wamewahi
kufanya mahusiano ya kimapenzi na watu wenye utamaduni wa kubusu kwa
mate/ ulimi (Wazungu wazuri ktk hilo). Baadhi ya watu hujiuliza kwanini
wazungu wanapigana denda kila wakati lakini hawadindishi? Sio kila denda
ni “nataka kutomabana” kuna denda nyingine za machungu au hasira, na
kumbuka kama unampenda mwenzio lazima utahisi machungu yake sasa kudinda
kutatoka wapi hapo?
0 comments:
Chapisha Maoni