Jumamosi, Machi 15, 2014

HUYU NDIYE MBUNGE WA CHADEMA ALIYEFUMWA NA ASKARI AKITOA RUSHWA KALENGA

Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Manyara kupitia CHADEMA, Rose Kamili amekamatwa leo na Polisi katika Kata ya Luhota kijiji cha Kitawaya kwa madai ya kugawa pesa (rushwa) kwa wapiga kura wa jimbo la Kalenga!

0 comments:

Chapisha Maoni