Jumapili, Machi 16, 2014

MWANAMKE TAMBUA JINSI YA KUMSAIDIA MWANAUME WAKO WAKATI WA KUFANYA MAPENZI

Kama unakumbuka niliwahi kuzungumzia Kupiga Nyeto kwa Wanawake na nikaeleza kuwa kwa kufanya hivyo utakuwa umeujua mwili wako vema na hivyo kujua wapi panakunika…. nia na madhumuni haikuwa kujiliwaza ukiwa mpweke tu bali kutumia "tekiniki" hizo na kumuongoza mpenzi wako wakati mnafanya mapenzi.

Lakini natambua wazi kuwa pamoja na kufanya hivyo na kufanikiwa kujifikisha ukingoni(kilele/mshindo) baadhi ya wanawake wanashindwa kuwa wazi kuhusu "uvumbuzi" waliovumbua mbele ya wapenzi wao kwa vile bado wana ile kasumba kuwa mwanaume ndio anaepaswa "kulianzisha" na ni wajibu wake kugundua wapi panamfurahisha mwanamke wake hali inayofanya wanaume wengi kubahatisha.
Inaudhi au niseme kuwa inachosha, ebu wewe mwanamke jiweke kwenye viatu vya mwanaume na uniambie ungejisikiaje, ni hakika kabisa kama wanawake wangekuwa wanategemewa kuwafikisha wanaume kileleni kila wanapofanya mapenzi nafikiri kesi za kuumwa migongo au misuli ya matako, mikono na miguu zingekuwa nyingi sana miongoni mweno. Thank God wanaume tumejaaliwa kuwa na uwezo wa kufika kileleni/kumaliza hata usipojishughulisha sana.

Hapa sina maana uchukue nafasi ya mwanaume la hasha! na wala sio kwamba nasisitiza swala la usawa kwenye ngono bali najaribu kusema kuwa ni vema kusaidiana ili kuokoa muda na wakati huohuo kufurahia kile mnachokifanya kwa wakati huo ambacho ni mapenzi/ngono.

Linapokuja swala la kufanya ngono wewe na yeye mnatakiwa ku-share nusu badala ya kumuachia yeye kazi ya kukufikisha kileleni, hivyo wewe mwanamke baada ya kujua wapi panakupa raha/kunyegesha/utamu basi muelekeze mpenzi wako, akipatia mwambie hapo-hapo au aendelee kufanya afanyavyo kisha sema unavyojisikia sio unaishia kuhema au kugeuza macho tu….. pia kumbuka kujishughulisha/kumsaidia ili lengo lifikiwe vema.

0 comments:

Chapisha Maoni