Bus la timu ya Young Africans lililokuwa limebeba wachezaji pamoja na
viongozi wa benchi la ufundi limepata ajali eneo na Mikese Mizani baada
ya Mabus yaliyokua yakitanua kuelekea mikoa ya bara kuziba njia na
kusababisha kutumbukia kwenye mtaro. Katika ajali hiyo
iliyotokea majira ya saa tatu na nusu asubuhi hakuna mtu yeyote
aliyejeruhiwa na kwa sasa timu inaondoka na usafiri wa bus jingine
kuelekea jijini Dar es salaam
0 comments:
Chapisha Maoni