Jumatano, Machi 26, 2014

MCHEZAJI WA KMKM NA TIMU YA TAIFA ZANZIBAR AFARIKI KWA KUANGUKIWA NA MTI

MCHEZAJI wa KMKM na timu ya taifa ya Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’, Ali Suleiman Abdi amefariki dunia baada ya kuangukiwa na mti wakati wa mvua kubwa iliyoambatanana na upepo mkali iliyonyesha jana mjini humo!

0 comments:

Chapisha Maoni