Cristiano Ronaldo atakua mfungaji bora kwa muda wote wa timu yake ya
taifa ya Portugal kama akifunga bao lolote leo katika mchezo dhidi ya
timu ya Samuel Eto'o - Cameroon. CR7 kwa sasa yupo sawa na Pauleta
wakiwa wote wana mabao 47 kama vinara wa ufungaji kwa taifa hilo.




0 comments:
Chapisha Maoni