Majengo mawili yameporomoka New York
Marekani ambapo mpaka sasa imetoka ripoti ya watu wawili kufariki na
wengine kutoonekana huku 18 wakijeruhiwa na wanne wakikimbizwa
hospitali.
Chanzo cha majengo hayo kuporomoka ni
mlipuko uliotokana na kuvuja kwa gesi ambapo askari wa zimamoto wakiwa
na vifaa vya kisasa wako kwenye eneo la tukio kuendelea kuzima moto. Picha zake ziko hapa chini
0 comments:
Chapisha Maoni