Jumatano, Machi 05, 2014

IMETAMBULIKA RASMI KUWA NEMANJA VIDIC ATAICHEZEA INTER MILAN MSIMU UJAO

Inter Milan wamethibitisha kufikia makubaliano ya kumsajili mlinzi wa kati na nahodha wa Manchester United Nemanja Vidic,32, kwa msimu ujao.
Kwa kua ataenda huru hakuna mazungumzo yoyote yatakayofanyika kati ya Inter na United, kwa hiyo kitu cha msingi ni makubaliano ya Vidic na Inter.

0 comments:

Chapisha Maoni