MSICHANA mwenye umri wa miaka 19, ambaye jina lake halikuweza
kupatikana mara moja, anatapika pesa, vyupa, misumari, mayai na pini
akiwa kanisani nchini Ghana.
Kwa mujibu wa habari zilizopatikana, msichana huyo alitoweka nyumbani
kwao kwa muda wa wiki moja mapema Januari, mwaka huu na aliporejea
ndipo alipoanza kufanya vitendo hivyo vinavyohisiwa kuwa vinatokana na
imani za kishirikina.
0 comments:
Chapisha Maoni