Jumapili, Machi 23, 2014

HABARI JUU YA WATU WAWILI WALIOUAWA NA KUJERUHIWA KANISANI BAADA YA SHAMBULIO

WATU wawili wameuawa wakati wengine kumi wakijeruhiwa baada ya mtu mmoja aliyejihami kwa bunduki kuwafyatulia risasi ndani ya kanisa la Joy Jesus huko Lokoni, karibu na Mombasa nchini Kenya.
Maafisa wa polisi katika wilaya ya Likoni iliyopo kusini mwa Mombasa wamesema kuwa jambazi huyo alilivamia kanisa hilo na kuanza kuwafyatulia risasi waumini hao kiholela.
Bado haijafahamika kama muuaji huyo ana uhusiano na vikundi vya kigaidi.

0 comments:

Chapisha Maoni