Zikiwa zimebakia siku 100 tu kombe la dunia lianze huko Brazil, timu ya taifa ya nchi hiyo imetangaza wachezaji 11 wa kwanza katika kikosi kitakachoipigania nchi hiyo (first eleven).
Wachezaji waliotajwa katika kikosi hicho ni: Júlio César, Rafinha, David Luiz, Thiago
Silva, Marcelo, Paulinho, Fernandinho, Hulk, Oscar, Neymar, Fred.




0 comments:
Chapisha Maoni