Wiki iliyopita Diamond Platnumz alisema anatarajia kusafiri kwenda
nchini Nigeria (March 30) kwa ajili ya kufanya video ya wimbo wake mpya
aliofanya collabo na mastaa wa huko. Usiku wa kuamkia leo Platnumz
amepost picha Instagram akiwa ameongozana na meneja wake Bab Tale wa Tip
Top Connection, wakiwa uwanja wa ndege JNIA tayari kwa safari yao ya
Lagos.
0 comments:
Chapisha Maoni