TIMU ya Mbeya City leo imepokea kipigo cha kwanza katika Ligi Kuu ya
Bara baada ya kulala kwa bao 1-0 kutoka kwa Yanga kwenye mchezo
uliopigwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Bao pekee la Yanga
limewekwa kimiani na Mrisho Ngassa katika dakika ya 16 ya mchezo.
VIKOSI KATIKA MECHI HIYO VILIKUWA HIVI:
YANGA
Dida, Mbuyu Twite, Oscar Joshua, Cannavaro, Kelvin Yondani, Domayo,
Simon Msuva, Haruna Niyonzima, Didier Kavumbagu, Mrisho Ngassa na David
Luhende.
MBEYA CITY
David Burhan, Johh Kabanda, Hassan Mwasapila, Deo Julius, Yusuf
Abdallah, Anthony Matogolo, Mwagane Yeya, Steven Mazanda, Paul Nonga,
Peter Mapunda na Deus Kaseke
0 comments:
Chapisha Maoni