WANAWAKE wameshauriwa kuacha kutumia sabuni za kunawia sehemu za siri
ambazo hudaiwa kurejesha ubikira kwani zina madhara makubwa ikiwemo
kusababisha kansa ya shingo ya kizazi. Mkaguzi wa Dawa na Mfamasia wa
Manispaa ya Dodoma Daria Mwanuka alisema hayo mwishoni mwa wiki katika
mahojiano na mwandishi wa habari hizi wakati wa uteketezaji dawa,
vipodozi na vyakula visivyofaa kwa matumizi ya binadamu.
0 comments:
Chapisha Maoni