Shughuli za bunge maalum la katiba zimeendelea kusuasua mjini Dodoma
baada ya bunge kushindwa kuendelea na shughuli zake kwa mujibu wa ratiba
na kulazimika kuahirishwa hadi Ijumaa ya February 28, 2014, kutokana na
kamati ya kanuni kushindwa kumaliza kazi ya kuchambua rasimu ya kanuni
kwa muda uliopangwa na kulazimika kuomba muda wa ziada.
0 comments:
Chapisha Maoni