Jumanne, Februari 25, 2014

RELI YAZAMA KATIKA MAJI BAADA YA MAFURIKO KILOSA

Sehemu ya reli ya kati kutoka Stesheni ya Kilosa-Godegode iliyojaa maji baada ya Mto Mkondoa kufurika na hivyo kusababisha kusitishwa kwa safari za treni kwa muda usiojulikana. Picha na Hamida Shariff.

0 comments:

Chapisha Maoni