Habari nilizozipata hivi punde zinasema kuwa Kuna ajali imetokea
ikilihusisha Basi la Bunda Express lililokuwa likitokea Dodoma kwenda
Mwanza asubuhi hii limegongana na Treni Eneo la Manyoni mkoani Singida.
Kwa mujibu wa chanzo changu cha habari cha kuaminika ambacho kipo Eneo la tukio Bado hawajajua idadi ya majeruhi na waliokufa lakini inaonekana ajali ni mbaya na ameshuhudia tayari maiti moja.
Majeruhi Tayari wamepelekwa kwenye Hospitali ya Wilaya ya Manyoni

0 comments:
Chapisha Maoni