Jumatano, Januari 08, 2014

MAMAA WA HEKA-HEKA YA CLOUDS FM GEA HABIB AMEJIFUNGUA MTOTO WA KIUME LEO ASUBUHI

Mtangazaji wa kipindi cha leo tena,Mamaa wa heka heka,Gea Habib ambaye yupo kwenye likizo ya uzazi leo asubuhi amejifungua mtoto wa kiume na yeye na mtoto wapo salama,Clouds fm inampongeza kwa kupata mtoto na inamtakia afya njema yeye na mtoto.

0 comments:

Chapisha Maoni