Mwaka jana zilifanyika fainali za shindano la kusaka vipaji lijulikanalo
kama Epiq Bongo Star Search ambapo mshindi aliibuka Emmanuel Msuya na
kujinyakulia kitita cha shilingi milioni hamsini.
Mara baada ya kuwa kimya tangu anyakue kitita hicho, leo hii Madam
Ritha ambaye ndio mmiliki wa shindano hilo amepost picha mtandaoni
ikionyesha gari aina ya Opa, Nyumba na Studio ndani yake akiwemo Emanuel
huku post hiyo ikisindikizwa na maneno hayo hapo chini;
0 comments:
Chapisha Maoni