ABIRIA kadhaa
akiwemo Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli, Mhe. Edward Lowassa
wamenusurika kifo, baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kupasuka
matairi yote manne ya nyuma wakati ilipokuwa ikitua katika uwanja wa
ndege wa Arusha mchana mchana huu.
Ndege hiyo ya
shirika la ndege la Precision aina ya ATR ilipata ajali hiyo wakati
ikitua. Matairi yote manne ya nyuma yamepasuka na kusababisha taharuki
kubwa kwa abiria.
Lowassa ni miongoni mwa wana CCM wanaotajwa kuwania urais 2015 na amekuwa na nguvu kubwa katika harakati hizo.



0 comments:
Chapisha Maoni