Waziri wa Elimu sayansi na teknolojia profesa Joyce ndalichako leo ametanga za kuwa wizara hiyo imehamia rasmi Dodoma. Viongozi wakuu wote akiwemo mhe. waziri, mhe.naibu waziri, katibu mkuu, naibu Makatibu Wakuu wote tayari wamesharipoti Dodoma katika awamu hii ya kwanza.
Mawasiliano yote yafanyike kupitia anuani ifuatayo:
Katibu mkuu
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia
S.L.P. 10
DODOMA
Namba ya simu: 026- 2963633
Tovuti: www.moe.go.tz
Barua pepe: info@moe.go.tz
0 comments:
Chapisha Maoni