Alhamisi, Machi 09, 2017

TANESCO YATOA SIKU 14 WADAIWA SUGU KULIPA MADENI YAO, ZANZIBAR IMO!

Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) limetoa siku 14 kwa wadaiwa sugu kuhakikisha wanalipa madeni yao.
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Kaimu mkurugenzi wa Shirika hilo, Tito Mwinuka amesema mpaka sasa wanadai bilioni 275.
Amesema notisi hiyo ni kwa wateja wote wakubwa na wadogo na kwamba wasipolipa watakatiwa umeme ikiwamo shirika la Umeme Zanzibar(ZECO)

0 comments:

Chapisha Maoni