Jumatatu, Februari 27, 2017

SIMU YA KWANZA YENYE KUKUBALI MTANDAO WA 5G TAYARI IMETENGENEZWA

Kampuni ya mawasiliano ya China ZTE imezindua simu mpya iitwayo Sunday Gigabit Phone ambayo ni simu ya kwanza ya smartphone inayotumia mtandao wa 5G duniani kwenye maonyesho ya simu ya MWC yanayofanyika huko Barcelona, Hispania.
Ikiwa na kasi ya kupakua (download) karibu 1Gbps kwa sekunde, simu hii inawakilisha hatua muhimu katika teknolojia ya 5G. 
ZTE ni kampuni inayoongoza duniani kwa kutoa vifaa vya mawasiliano ya simu na huduma za mtandao wa internet na pia ni kampuni inayokua kwa kasi ya simu ya smartphone.

0 comments:

Chapisha Maoni