Jumatatu, Februari 13, 2017

SHINDANO LA 'KUKISS' KUELEKEA VALENTINE'S DAY

Kesho ni siku ya wapendanao, februari 14, na mwaka huu 2017 katika mji wa Shanghai nchini China couple 77 za wanandoa wamejiingiza katika mashindano ya 'kukiss' (kubusiana) ikiwa ni ishara ya kusherehekea siku hiyo.
Unataka kufahamu kanuni ama sheria za kushiriki mchezo huo? Sasa iko hivi, wanandoa hao wamepewa sharti la kufuata process ya kubusu kutoka kwa waigizaji na miguu ya washiriki wa kike hayapaswi kuguza chini. 
Ili ushinde katika mchezo huo basi inatakiwa wewe na mwenzi wako mkiss kwamuda mrefu zaidi.

0 comments:

Chapisha Maoni