Karibu usome vichwa vya habari katika magazeti ya leo ya Tanzania;
MWANAHALISI
- Kimenuka, Makonda naye mtuhumiwa, viongiozi wa dini washtuka
- CCM kwafukuta
- Mwigulu, Mwigulu uko wapi?
- Lipuli FC na laana ya Friends Rangers
TANZANIA DAIMA
- JPM ampinga Paul Makonda, asema wahusika wasitajwe kwa kuonewa, ataka waliohukumiwa kunyongwa waache wanyongwe, vita dawa za kulevya sasa aachiwa waziri mkuu
- Slaa aibuka sakata la dawa za kulevya, Gwajima asema Makonda hatari kwa usalama wa taifa, adai hatoshi kuwa RC
- CCM Arusha watimuana kisa Lowassa
- DC Gairo asusia kikao cha madiwani
- CUF: Serikali imepandikiza mgogoro
- Yanga SC yamfariji Manji
- Waziri mkuu aitahadharisha TFF, awafagilia Alphonce Simbu na Diamond
UHURU
- JPM: Vita imeanza, itaendelea, haitaisha
- Manji aachiwa, aondolewa Polisi kwa Ambulance
- Yanga yagawa dozi Comoro
- Simba nyodo kibao
MTANZANIA
- JPM akoleza moto dawa za kulevya
- Gwajima: Nitapambana na Makonda
- Rungu la usaliti CCM latua kwa vigogo
- Yanga yaipiga 'mkono' Ngaya
- Mayanja aeleza siri ya Mkude kukaa benchi
- Rico Single: Bongo fleva lazima tuimbe 'live'
HABARI LEO
- JPM achukizwa mzaha vita dawa za kulevya
- Tume ya kikristo yataka ufaulu kidato cha pili uwe 40%
- Makakala aagizwa kuifumua Uhamiaji
- Jukwaa la Simiyu leo
- Kigigi CCM atimuliwa
- Yanga yapiga mkono
- Matumaini ya ubingwa yamerudi-Simba
- Ligi wanawake yafika patamu
- Wenger amjia juu Wright
0 comments:
Chapisha Maoni