Jumapili, Januari 22, 2017

JANUARI 26 NI SIKU YA JAMHURI INDIA, STAAJABU NA MAONESHO YALIYOANDALIWA NA JESHI LAO

Kila mwaka nchini India katika tarehe 26 ya mwezi Januari tangu mwaka 1950 huadhimishwa siku ya Jamhuri, ni pale katiba ya nchi hiyo ilipoanza kutumika rasmi.
Siku hiyo haiko mbali na sasa, kwani ni alhamisi ijayo tu, ambapo maadhimisho hayo ya 68 yatafanyika katika mji wa New Dheli na hapa chini utaona picha zikionesha wanajeshi wa jeshi la India wakifanya mazoezi ya kufanya maonesho katika siku hiyo, ni tofauti sana na aina ya maonesho tunayoyashuhudia katika nchi zetu za kiafrika, haya ya kwao tunashuhudia sanaa ya hali ya juu...

0 comments:

Chapisha Maoni